Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Barcelona dakika ya tatu katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Slavia Prague kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Sinobo mjini Prague. Bao lingine la Barcelona lilifungwa na Peter Olayinka aliyejifunga dakika ya 57, wakati la Slavia Prague lilifungwa na Jan Boril dakika ya 50 na Messi sasa amefikisha mabao 113 ya kufunga kwenye Ligi ya Mabingwa sasa akimfuatia Cristiano Ronaldo anayeongoza kwa mabao yake 127 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lily Allen defends West End Girl tour amid criticism
-
Lily Allen has defended her choice not to speak to the audience during the
show.
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment