• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 16, 2019

  SIMBA SC NA AIGLE NOIR YA BURUNDI ZATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA MECHI YA KIRAFIKI KIGOMA LEO

  Kiungo wa Simba SC, Deo Kanda anayecheza kwa mkopo kutoka TP Mazembe ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Aigle Noir ya Burundi katika mchezo wa kirafiki uliomalizika kwa sare ya 0-0 jioni ya leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma 
  Kiungo Msudan wa Simba, Sharaf Shiboub akijaribu kumlamba chenga beki wa Aigle Noir leo Kigoma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA AIGLE NOIR YA BURUNDI ZATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA MECHI YA KIRAFIKI KIGOMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top