Marcus Rashford akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester United dakika ya 73 ikiwalaza wenyeji, Chelsea 2-1 katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Rashford pia ndiye aliyefunga bao la kwanza la Man United dakika ya 25 kwa penalti, baada ya Daniel James kuchezewa rafu na Marcos Alonso, lakini Michy Batshuayi akaisawazishia Chelsea dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment