• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 12, 2019

  ENGLAND YACHAPWA 2-1 NA JAMHURI YA CZECH KUFUZU EURO 2020

  Wachezaji wa England wakisikitika baada ya kuchapwa 2-1 na Jamhuri ya Czech usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Sinobo mjini Praha Three Lions wakipoteza mechi ya kwanza ya kufuzu baada ya miaka 10. 
  Harry Kane alianza kuifungia timu ya Gareth Southgate dakika ya tano kwa penalti kabla ya Jakub Brabec kuisawazishia Czech dakika nne baadaye na Zdenek Ondrasek kufunga la ushindi dakika ya 85 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ENGLAND YACHAPWA 2-1 NA JAMHURI YA CZECH KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top