Gareth Bale akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Wales bao la kusawazisha dakika ya 45 na ushei katika sare ya 1-1 na Croatia kufuatia Nikola Vlasic kuanza kuwafungia wageni dakika ya tisa kwenye mchezo huo wa Kundi E kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hodgkinson beaten to European gold by rival Werro
-
Keely Hodgkinson is forced to settle for European silver as Switzerland's
Audrey Werro denies the Briton a third consecutive title in a thrilling
800m final.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment