• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 23, 2019

  DYBALA APIGA MBILI JUVENTUS YAICHAPA LOKOMOTIC MOSCOW 2-1

  Mshambuliaji Muargentina, Paulo Dybala akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Juventus dakika za 77 na 79 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Lokomotiv Moscow kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Lokomotiv Moscow lilifungwa na Aleksey Miranchuk dakika ya 30 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DYBALA APIGA MBILI JUVENTUS YAICHAPA LOKOMOTIC MOSCOW 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top