GUNDOGAN APIGA MBILI UJERUMANI YAICHAPA ESTONIA 3-0
Ilkay Gundogan akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili dakika za 51 na 57 kabla ya Timo Werner kufunga lingine dakika ya 71 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Estonia kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 Uwanja wa A. Le Coq Arena mjini Tallinn
0 comments:
Post a Comment