• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 31, 2019

  RONALDO AFUNGIA DAKIKA YA MWISHO JUVE YAICHAPA GENOA 2-1

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Juventus kwa penalti dakika ya 90 na ushei baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Antonio Sanabria kwenye boksi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya 2-1 kwenye mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Juventus walitangulia kwa bao la Leonardo Bonucci dakika ya 36, kabla ya Christian Kouame kuisawazishia Genoa dakika ya 40 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGIA DAKIKA YA MWISHO JUVE YAICHAPA GENOA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top