Wachezaji wa England wakipongezana kwa ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Bulgaria kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Vasil Levski mjini Sofia. Mabao ya England yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya saba, Ross Barkley dakika ya 20 na 32, Raheem Sterling dakika ya 45 na ushei na 69 na Harry Kane dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jumanne, Oktoba 15, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni