• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 14, 2019

  SHIBOUB AIFUNGIA SIMBA SC BAO PEKEE IKIWACHAPA MASHUJAA 1-0 KIGOMA


  Nyota Msudan, Sharaf Eldin Shiboub akipiga saluti kushangilia baada ya kuifungia Simba SC bao pekee dakika ya 56 akimalizia kazi nzuri ya kiungo mwenzake, Mkongo Deo Kanda katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC kwenye mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHIBOUB AIFUNGIA SIMBA SC BAO PEKEE IKIWACHAPA MASHUJAA 1-0 KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top