• HABARI MPYA

  Saturday, October 19, 2019

  YANGA SC WAWASILI MWANZA TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA PYRAMIDS FC WIKI IJAYO KIRUMBA

  Wachezaji wa Yanga SC wakiwasili mjini Mwanza leo asubuhi kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC ya Misri Oktoba 27 Uwanja wa CCM Kirumba
  Kocha Mwinyi Zahera akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa mjini Mwanza leo baada ya kuwasili 
  Kipa Ramadhani Kabwili akiburuza begi lake baada ya kuwasili Mwanza ambako Jumanne watakuwa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Mbao FC kabla ya kuwavaa Pyramids 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WAWASILI MWANZA TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA PYRAMIDS FC WIKI IJAYO KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top