Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 66, zikiwa ni dakika 10 tu tangu aingie kuchukua nafasi ya Bernardo Silva kabla ya Phil Foden kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Dinamo Zagreb kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment