• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 12, 2019

  KIPCHOGE ATUMIA SAA MBILI TU KUMALIZA MARATHONI

  Eliud Kipchoge akifurahia baada ya ushindi wa rekodi mpya ya kukimbia Marathoni ndani ya saa mbili, Mkenya huyo mwenye umri wa miaka 34 akitumia muda wa Saa 1 dakika 59 na sekunde 40 kumaliza mjini Vienna, Austria asubuhi ya leo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIPCHOGE ATUMIA SAA MBILI TU KUMALIZA MARATHONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top