Kiungo Mmarekani, Christian Pulisic akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za 21, 45 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Burnley leo Uwanja wa Turf Moor. Bao lingine la The Blues limefungwa na Willian 58, wakati ya Burnley yamefungwa na Jay Rodriguez dakika ya 86 na Dwight McNeil dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hodgkinson beaten to European gold by rival Werro
-
Keely Hodgkinson is forced to settle for European silver as Switzerland's
Audrey Werro denies the Briton a third consecutive title in a thrilling
800m final.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment