• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 13, 2019

  NORWAY YAISAWAZISHIA HISPANIA DAKIKA YA MWISHO, 1-1 KUFUZU 2020

  Josh King akishangilia baada ya kuifungia kwa penalti Norway bao la kusawazisha dakika ya 90 katika sare ya 1-1 na Hispania kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Ullevaal mjini Oslo, kufuatia Saul kuanza kuwafungia wageni dakika ya 47 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NORWAY YAISAWAZISHIA HISPANIA DAKIKA YA MWISHO, 1-1 KUFUZU 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top