• HABARI MPYA

  Thursday, October 24, 2019

  BATSHUAYI AIPIGIA BAO PEKEE CHELSEA YAWALAZA AJAX 1-0 KWAO

  Mshambuliaji Mbelgiji, Michy Batshuayi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 86 ikiwalaza wenyeji, Ajax 1-0 katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam usiku wa jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI AIPIGIA BAO PEKEE CHELSEA YAWALAZA AJAX 1-0 KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top