• HABARI MPYA

    Sunday, October 13, 2019

    ‘KAPTENI’ MKAPA AKIWATAMBULISHA KABURU NA MKATI YANGA SC 1991

    Nahodha wa Yanga SC na beki wa kushoto, Kenneth Mkapa (katikati) akimtambulisha mchezaji mwenzake, kiungo Abdallah Suleiman ‘Kaburu’ kwa mgeni rasmi kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1991. Mwingine kulia ni beki wa kulia, Suleiman Mkati
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ‘KAPTENI’ MKAPA AKIWATAMBULISHA KABURU NA MKATI YANGA SC 1991 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top