Andrea Belotti akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Italia mabao mawili dakika za 70 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, Liechtenstein kwenye mchezo wa Kundi J kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Rheinpark mjini Vaduz. Mabao mengine ya Italia yalifungwa na Federico Bernardeschi dakika ya pili, Alessio Romagnoli dakika ya 77 na Stephan El Shaarawy dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hodgkinson beaten to European gold by rival Werro
-
Keely Hodgkinson is forced to settle for European silver as Switzerland's
Audrey Werro denies the Briton a third consecutive title in a thrilling
800m final.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment