• HABARI MPYA

  Wednesday, October 23, 2019

  MARCUS RASHFORD "RONALDO MPYA" MANCHESTER UNITED

  MFULULIZO wa kupachika Magoli muhimu kwa Timu ya Taifa ya England na Klabu yake ya Man United hivi karibuni kwa msimu huu wa 2019/2020 imemtambulisha upya kinda Marcus Rashford Kama mmoja ya Nyota vijana wakutazamwa Sana katika Soka Ulimwenguni kwa Sasa.
  ALHAMISI hii Mashetani wekundu watatua Nchini Ubelgiji kukipiga na Partizan Belgrade katika Europa League mapema saa 1:55 usiku.
  Mechi hii  itaoneshwa LIVE kupitia STARTIMES  pekee kwenye chaneli  ya World Football. Je, Rashford ataiongoza Vema Man United katika Mchezo huu? 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARCUS RASHFORD "RONALDO MPYA" MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top