• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 15, 2019

  UTURUKI YAICHOMOLEA UFARANSA DAKIKA ZA MWISHONI, SARE 1-1 PARIS

  Wachezaji wa Uturuki wakipiga saluti kushangilia bao la kusawazisha lililofungwa na Kaan Ayhan dakika ya 81 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Ufaransa waliotangulia kwa bao la Olivier Giroud dakika ya 76 kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UTURUKI YAICHOMOLEA UFARANSA DAKIKA ZA MWISHONI, SARE 1-1 PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top