Wachezaji wa Azam FC wakipongezana kwa ushindi wa 5-0 dhidi ya Green Warriors kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam mabao ya Abalkassim Khamisi mawili, Muivory Coast Richard Ella D'jodi, Mzimbabwe Donald Ngoma na Mrundi Suleiman Ndikumana moja kila mmoja
Saturday, October 12, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment