• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 23, 2019

  STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA ATALANTA 5-1

  Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu ndani ya dakika ya 11 kuanzia dakika ya 58, 64 na 69 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Manchester City yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 34 na 38 la penalti kufuatia Atalanta kutangulia kwa bao la penalti pia lililofungwa na Ruslan Malinovskiy 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA ATALANTA 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top