• HABARI MPYA

  Sunday, October 20, 2019

  RONALDO AFUNGA BAO LA 700 JUVENTUS IKIICHAPA BOLOGNA 3-0 SERIE A

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Juventus dakika ya 19 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bologna usiku wa jana kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino, hilo likiwa bao lake la 700 tangu aanze soka ya kulipwa. Bao lingine la Juventus lilifungwa na Miralem Pjanic dakika ya 54 wakati la Bologna lilifungwa na Danilo dakika ya 26 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA BAO LA 700 JUVENTUS IKIICHAPA BOLOGNA 3-0 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top