Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na mwenzao, Pierre-Emerick Aubameyang aliyewafungia bao la kusawazisha dakika ya 58 wakitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Manchester United iliyotangulia kwa bao la Scott McTominay dakika ya 45 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Team GB & ParalympicsGB release Paris 2024 kits
-
Team GB and ParalympicsGB release the kits their athletes will wear at the
2024 Olympic and Paralympic Games in Paris.
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment