• HABARI MPYA

  Sunday, October 20, 2019

  LIVERPOOL CHUPUCHUPU KUPIGWA NA MAN UNITED OLD TRAFFORD

  Marcus Rashford akiruka kwa ufundi kumalizia krosi nzuri ya Dan James kuifungia bao la kuongoza Manchester United dakika ya 36 kabla ya Adam Lallana kuisawazishia Liverpool dakika ya 85 timu hizo zikitoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL CHUPUCHUPU KUPIGWA NA MAN UNITED OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top