• HABARI MPYA

  Thursday, October 17, 2019

  KIKOSI CHA SIMBA SC CHAREJEA DAR BAADA YA ZIARA YA MECHI MBILI ZA KIRAFIKI KIGOMA

  Kipa Aishi Salum Manula akiwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere leo kutoka Kigoma walipokwenda kwa ajili ya mechi za kirafiki dhidi ya wenyeji Mashujaa FC na Aigle Noir ya Burundi
  Beki Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akirejea kishujaa baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa na sare ya 0-0 na Aigle Noir   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA SC CHAREJEA DAR BAADA YA ZIARA YA MECHI MBILI ZA KIRAFIKI KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top