Mshambuliaji wa Brazil Neymar akimtoka Victor Osimhen wa Nigeria katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Taifa wa Singapore. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Joe Aribo akianza kuifungia Nigeria dakika ya 35, kabla ya Casemiro kuisawazishia Brazil dakika ya 48 huku Neymar akitolewa dakika ya 12 tu baada ya kuumia, nafasi yake ikichukuliwa na Philippe Coutinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hodgkinson beaten to European gold by rival Werro
-
Keely Hodgkinson is forced to settle for European silver as Switzerland's
Audrey Werro denies the Briton a third consecutive title in a thrilling
800m final.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment