Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 34 na 62 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Olympiacos kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Georgios Karaiskáki mjini Piraeus. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Corentin Tolisso dakika ya 75, wakati ya Olympiacos yalifungwa na Youssef El-Arabi dakika ya 23 na Guilherme dakika ya 79 na kwa mabao yake mawili jana, Lewandowski amepanda nafasi ya tano katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Zhou Guanyu and George Russell involved in horror crash at the British Grand Prix
-
The pair started eighth and ninth on the grid, and their two cars collided
as they tried to go around the first corner, which caused them to go flying
off ...
Dakika 15 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni