• HABARI MPYA

  Thursday, October 24, 2019

  INTER MILAN YAICHAPA BORUSSIA DORTMUND 2-0 GIUSEPPE MEAZZA

  Antonio Candreva akikimbia kushangilia kifua wazi baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 89 kufuatia Lautaro Martinez kufunga la kwanza dakika ya 22 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia  Dortmund kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INTER MILAN YAICHAPA BORUSSIA DORTMUND 2-0 GIUSEPPE MEAZZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top