• HABARI MPYA

  Thursday, October 17, 2019

  MAZOEZI YA MWISHO TAIFA STARS LEO KABLA YA KUIVAA SUDAN KESHO KUWANIA TIKETI YA CHAN MWAKANI

  Wachezaji wa Tanzania wakifanya mazoezi leo Uwanja wa El-Merreikh mjini Khartoum kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji, Sudan kesho Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Sudan
  Kipa Metacha Mnata akiwa mazoezini leo Uwanja wa El-Merreikh mjini Khartoum. Taifa Stars ilifungwa 1-0 mechi ya kwanza Dar es Salaam 
  Kipa mkongwe, Juma Kaseja akiwaa mazoezini Uwanja wa El-Merreikh mjini Khartoum 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO TAIFA STARS LEO KABLA YA KUIVAA SUDAN KESHO KUWANIA TIKETI YA CHAN MWAKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top