• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 12, 2019

  RONALDO AFUNGA BAO LA 699 URENO IKIICHAPA LUXEMBOURG 3-0

  MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo akishangilia kibabe baada ya kuifungia Ureno bao la pili dakika ya 65, likiwa 699 jumla kwake kufunga pamoja na mechi za klabu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya  Luxembourg usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 16 na Goncalo Guedes dakika ya 89 Uwanja wa Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA BAO LA 699 URENO IKIICHAPA LUXEMBOURG 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top