• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 15, 2019

  RONALDO AFIKISHA MABAO 700 LAKINI URENO YACHAPWA 2-1 UKRAINE

  Cristiano Ronaldo akiifungia Ureno bao la kufutia machozi kwa penalti dakika ya 72 baada ya Stepanenko wa Ukraine kuunawa mpira kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki mjini Kiev, hilo likiwa nao lake la 700 tangu aanze soka. Ukraine ilishinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Roman Yaremchuk dakika ya sita na Andriy Yarmolenko dakika ya 27 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFIKISHA MABAO 700 LAKINI URENO YACHAPWA 2-1 UKRAINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top