• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 24, 2019

  OXLADE-CHAMBERLAIN APIGA MBILI LIVERPOOL YAIKANYAGA GENK 4-1

  Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain (kulia) akipongezwa na wenzake washambuliaji Sadio Mane na Roberto Firmino baada ya kuifungia Liverpoool mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, KRC Genk kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luminus ArenaPICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OXLADE-CHAMBERLAIN APIGA MBILI LIVERPOOL YAIKANYAGA GENK 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top