• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 17, 2019

  KILIMANJARO QUEENS WAKIPASHA UFUKWENI LEO KUJIANDAA NA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE

  Kocha Bakari Shime (kulia) akioongoza mazoezi ya timu ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens ufukwe wa bahari ya Hindi mjini Dar es Salaam leo kujiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Challenge Wanawake) inayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 28 mwaka huu mjini Dar es Salaam. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS WAKIPASHA UFUKWENI LEO KUJIANDAA NA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top