• HABARI MPYA

  Wednesday, October 30, 2019

  MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL VALLADOLID 5-1 LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 34 na 75 katika ushindi wa 5-1 wa Barcelona dhidi ya Real Valladolid usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Clement Lenglet dakika ya pili, Arturo Vidal dakika ya 29 na Luis Suarez dakika ya 77, wakati la Real lilifungwa na Kiko Olivas dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL VALLADOLID 5-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top