• HABARI MPYA

  Monday, October 14, 2019

  KIPAGWILE NA MAHUNDI WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA 2-0 AFRICAN LYON MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI

  Wachezaji wa Azam FC, Iddi Kipagwile na Joseph Mahundi wakipongezana baada ya wote kufunga kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon ya Daraja la Kwanza kwenye mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPAGWILE NA MAHUNDI WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA 2-0 AFRICAN LYON MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top