Mshambuliaji Robert Lewandowski akiwa na mpira wake baada ya kukabidhiwa kufuatia kuifungia Poland hat-trick kwa mabao yake ya dakika za tisa, 13 na 76 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Latvia usiku wa jana Uwanja wa Daugavas mjini Riga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment