• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 11, 2019

  'KAPTENI' MODRIC AFUNGA CROATIA YAICHAPA HUNGARY 3-0

  Nahodha wa Croatia, Luka Modric akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Hungary kwenye mchezo wa Kundi E kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Stadion Poljud mjini Split. Mabao mengine ya Croatia yamefungwa na Bruno Petkovic dakika ya 24 na 42 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'KAPTENI' MODRIC AFUNGA CROATIA YAICHAPA HUNGARY 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top