Wachezaji wa Liverpool, Mbrazil Roberto Firmino na Msenegal Sadio Mane wakipongezana baada ya mechi ya kirafiki baina ya timu zao za taifa usiku wa jana Uwanja wa Taifa mjini Singapore. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Firmino akianza kuifungia Brazil dakika ya tisa kabla ya Famara Diedhiou kuisawazishia Senegal kwa penalti dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment