Beki Michael Keane wa Everton akinyoosha mkuu kumzuia mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. Matokeo hayo yanaifanya Liverpool ijiongezee pointi moja na kufikisha 70 katika mechi ya 29, sasa ikizidiwa pointi moja na Manchester City wanaoongoza, wakati Everton inabaki nafasi ya 10 baada ya kufikisha pointi 37 katika mchezo wa 29 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Andrew Flintoff's former England teammate reveals he 'couldn't stop crying'
after seeing star's facial injuries following horror car crash
-
Andrew Flintoff's former England team-mate Steve Harmison has revealed he
'couldn't stop crying' after seeing the extensive facial injuries the star
suffer...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment