• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 13, 2019

  RONALDO AIPELEKA JUVENTUS ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Cristiano Ronaldo akishangilia kwa kumkejeli kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone baada ya kuifungia Juventus mabao yote matatu dakika za 27 akimalizia pasi ya Federico Bernardeschi, 49 pasi ya Joao Cancelo na 86 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Kwa matokeo hayo, Juventus inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza mjini Madrid 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AIPELEKA JUVENTUS ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top