• HABARI MPYA

  Friday, March 22, 2019

  DEPAY, WIJNALDUM WOTE WAFUNGA UHOLANZI YASHINDA 4-0

  Memphis Depay (kushoto) na Georginio Wijnaldum wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-0 Uholanzi dhidi ya Belarus kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam. Depay alifunga mawili dakika ya kwanza na 55 kwa penalti na Wijnaldum alifunga la pili dakika ya 21, wakati la nne lilifungwa na Virgil van Dijk dakika ya 86 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEPAY, WIJNALDUM WOTE WAFUNGA UHOLANZI YASHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top