• HABARI MPYA

  Friday, March 22, 2019

  HAZARD APIGA MBILI UBELGIJI YAANZA VYEMA KUFUZU EURO 2020

  Eden Hazard akishangilia na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 kwa penalti na 88 katika ushindi wa 3-1 wa Ubelgiji dhidi ya Urusi usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussells, Ubelgiji. Bao lingine la la Ubelgiji lilifungwa na Youri Tielemans dakika ya 24, wakati bao la Urusi lilifungwa na Denis Cheryshev dakika ya 16 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD APIGA MBILI UBELGIJI YAANZA VYEMA KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top