• HABARI MPYA

  Sunday, March 24, 2019

  NEYMAR AISHUHUDIA BRAZIL JUKWAANI IKITOA SARE 1-1 NA PANAMA

  Nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar akiushuhudia mchezo wa kirafiki timu yake, Brazil ikilazimishwa sare ya 1-1 na Panama Uwanja wa Dragao mjini Porto. Lucas Paqueta alianza kuifungia Brazil dakika ya 32, kabla ya Adolfo Machado kuisawazishia Panama dakika ya 36 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AISHUHUDIA BRAZIL JUKWAANI IKITOA SARE 1-1 NA PANAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top