• HABARI MPYA

  Monday, March 18, 2019

  CHELSEA YAGONGWA 2-0 NA EVERTON GOODISON PARK LIGI YA ENGLAND

  Kiungo wa Chelsea, N'Golo Kante (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya wachezaji wa Everton, Idrissa Gueye (juu) na Andre Gomes (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Goodison Park. Everton ilishinda 2-0, mabao ya Richarlison dakika ya 49 na Gylfi Sigurdsson dakika ya 71 kwa penalti na kwa ushindi huo The Toffees wanafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 31, ingawa wanabaki nafasi ya 11, wakati Chelsea inayobaki na pointi zake 57 za mechi 30, inabaki nafasi ya sita 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAGONGWA 2-0 NA EVERTON GOODISON PARK LIGI YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top