• HABARI MPYA

  Monday, March 25, 2019

  RAIS MAGUFULI ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS IKULU

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars aliowaalika Ikulu mjini Dar es Salaam leo kuwapongeza kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Uganda jana Uwanja wa Taifa na kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)
  Mfungaji wa bao la pili la Taifa Stars jana, Erasto Nyoni akiw aamesimama kwa furaha leo  
  Wachezaji wa Taifa Stars wakipata chakula cha mchana Ikulu mjini Dar es Salaam leo
  Wachezaji wa Taifa Stars wakifurahia Ikulu mjini Dar es Salaam leo katika mkutano wao na Rais Magufuli
  Kushoto ni bondia Hassan Mwakinyo ambaye naye alialikwa Ikulu leo kufuatia ushindi wake wa juzi dhidi ya Muargentina, Sergio Eduardo Gonzalez wmjini Nairobi nchini Kenya 
  Wachezaji wa Taifa Stars wakifurahia Ikulu mjini Dar es Salaam leo katika mkutano wao na Rais Magufuli 
  Bondia Hassan Mwakinyo akitoa heshima zake mbele ya Rais Dk. Magufuli Ikulu leo 
  Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wachezaji wa Taifa Stars kulu mjini Dar es Salaam leo 
  Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na mshambuliaji wa zamani wa Taifa Stars, Peter Tino Ikulu mjini Dar es Salaam leo  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS MAGUFULI ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS IKULU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top