• HABARI MPYA

  Monday, March 18, 2019

  MASHABIKI WA PANATHINAIKOS WAWAPIGA OLYMPIACOS

  Moto ukiwaka uwanjani kufuatia mashabiki wa Panathinaikos kuwavamia na kuwafanyia vurugu kwenye benchi wachezaji wa Olympiacos wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Ugiriki ambao ulilazimika kusimama kwa dakika nane kuanzia dakika ya nne tangu kuanza kwa mchezo huo wa mahasimu wa Athens Uwanja wa OAKA ili Polisi watulize vurugu hizo. Mechi iliendelea na Olympiacos ikashinda 1-0, bao pekee la Guerrero dakika ya 53 ingawa Panathinaikos iko hatarini kupokonywa pointi baada ya vurugu hizo    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WA PANATHINAIKOS WAWAPIGA OLYMPIACOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top