• HABARI MPYA

  Saturday, March 23, 2019

  STERLING APIGA HAT TRICK ENGLAND YAIPIGA CZECH 5-0 KUFUZU EURO

  Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia kwa furaha baada ya kuifungia England hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 24, 62 na 68 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kundi A kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Three Lions yalifungwa na Harry Kane kwa penalti dakika ya 45 na Tomas Kalas aliyejifunga dakika ya 84. Mechi nyingine ya Kundi A jana, Bulgaria ililazimishwa sare ya 1-1 na Montenegro jana mjini Sofia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING APIGA HAT TRICK ENGLAND YAIPIGA CZECH 5-0 KUFUZU EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top