• HABARI MPYA

  Monday, March 25, 2019

  MODRIC NDANI CROATIA YAPIGWA 2-1 NA HUNGARY KUFUZU EURO 2020

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Luka Modric wa Croatia akipiga hesabu wakati wa mchezo wa Kundi E kufuzu Euro 2020 dhidi ya wenyeji, Hungary Uwanja wa Groupama Arena mjini Budapest jana. Hungari ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Adam Szalai dakika ya 34 na Mate Patkai dakika ya 76 huku la Croatia likifungwa na Ante Rebic dakika ya 13 na mechi nyingine ya kundi hilo jana, Wales iliifunga 1-0 Slovakia mjini Cardiff 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MODRIC NDANI CROATIA YAPIGWA 2-1 NA HUNGARY KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top