Mshambuliaji Mbelgiji, Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei kufuatia Raul Jimenez kuanza kuifungia Wolves dakika ya 56 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bowie seizing Scotland shot after World Cup disappointment
-
BBC Scotland speaks to Kieron Bowie after he scores his first goal for his
country against North Macedonia.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment